Kipamona

Kipamona (pia Kibaree) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapamona kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipamona imehesabiwa kuwa watu 137,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipamona iko katika kundi la Kicelebiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy