Kipapora-Hoanya

Kipapora-Hoanya ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wapapora-Hoanya. Hakuna Wapapora-Hoanya siku hizi ambazo wangeweza kuongea lugha ya Kipapora-Hoanya, yaani lugha yao imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipapora-Hoanya iko katika kundi la Kitambarare-Magharibi (“Western Plains”).


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy