Kiparkwa

Kiparkwa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Waparkwa. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiparkwa imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiparkwa iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy