Kipawaia

Kipawaia ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapawaia. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kipawaia imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipawaia iko katika kundi lake lenyewe la Kipawaia.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy