Kipero

Kipero ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wapero. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kipero imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipero iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy