Kipinai-Hagahai

Kipinai-Hagahai ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapinai na Wahagahai. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kipinai-Hagahai imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipinai-Hagahai iko katika kundi la Kipiawi.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy