Kipinji

Kipinji ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wapinji. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kipinji imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipinji iko katika kundi la B30.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy