Kipiti

Kipiti ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wapiti wa jimbo la Kaduna. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kipiti imehesabiwa kuwa watu 8100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipiti iko katika kundi la Kikainji.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy