Kipogolo

Kipogoro (au Kipogolo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wapogoro wa mkoa wa Morogoro.

Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kipogolo ilihesabiwa kuwa watu 185,000.

Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipogolo kiko katika kundi la G50, kikifanana na Kimbunga na Kindamba kwa asilimia 57-56%.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy