Kipolci

Kipolci ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wapolci. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kipolci imehesabiwa kuwa watu 22,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipolci iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy