Kipowari

Kipowari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapowari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipowari imehesabiwa kuwa watu 426,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipowari iko katika kundi la Kiaryan.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy