Kipwapwa

Kipwapwa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wapwapwa. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kipwapwa imehesabiwa kuwa watu 40 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipwapwa iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy