Kirawat

Kirawat (pia Kijangali na Kiraji) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Warawat. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kirawat imehesabiwa kuwa watu 670. Kwa vile Warawat wengi hutumia lugha nyingine badala ya lugha yao ya asili, Kirawat iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirawat iko katika kundi la Kihimalaya.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy