Kisam

Kisam ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasam. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisam imehesabiwa kuwa watu 780. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisam iko katika kundi la Kimadang.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy