Kisamba-Leko

Kisamba-Leko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasamba-Leko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamba-Leko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 62,000. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamba-Leko iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy