Kisamo-Maya

Kisamo-Maya ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wasamo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kisamo-Maya nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 38,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamo-Maya iko katika kundi la Kimande.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy