Kiseeku

Kiseeku (au Kisembla) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Waseeku. Idadi ya wasemaji wa Kiseeku imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseeku iko katika kundi la Kimande.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy