Kiseimat

Kiseimat ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waseimat. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiseimat imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseimat iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy