Kiselee

Kiselee ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Waselee. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiselee imehesabiwa kuwa watu 11,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiselee iko katika kundi la Kikwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy