Kisempan

Kisempan ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasempan. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisempan imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisempan iko katika kundi la Kiasmat-Kamoro.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy