Kisentani

Kisentani ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasentani. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kisentani imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisentani iko katika kundi lake lenyewe la Kisentani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy