Kiseze

Kiseze ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waseze. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiseze imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseze iko katika kundi la Kiomotiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy