Kisharwa

Kisharwa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Washarwa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisharwa imehesabiwa kuwa watu 5100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisharwa iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy