Kishatt

Kishatt ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Washatt. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kishatt imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishatt iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy