Kisheko

Kisheko ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Washeko. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisheko imehesabiwa kuwa watu 38,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisheko iko katika kundi la Kiomotiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy