Kishingini

Kishingini (au Cishingini) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washingini. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kishingini imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishingini iko katika kundi la Kikainji.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy