Kishwai

Kishwai ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Washwai. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kishwai imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishwai iko katika kundi la Kikordofani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy