Kisibe

Kisibe (au Kinagovisi) ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasibe. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisibe imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisibe iko katika kundi la Kinasioi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy