Kisikule

Kisikule ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasikule kwenye kisiwa cha Simeulue. Idadi ya wasemaji wa Kisikule imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisikule iko katika kundi la Kinias.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy