Kisimbali

Kisimbali ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasimbali. Mwaka wa 2012 Kisimbali imehesabiwa kuwa watu 450. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisimbali iko katika kundi la “East New Britain”.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy