Kisio

Kisio ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasio. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisio imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisio iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy