Kisishee

Kisishee (au Kizire) ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya iliyozungumzwa na Wasishee. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kisishee, msemaji wa mwisho amefariki miaka ya 1990, yaani lugha imtoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisishee iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy