Kisomrai

Kisomrai ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wasomrai. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kisomrai imehesabiwa kuwa watu 7410. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisomrai iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy