Kisonga

Kisonga ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasonga. Idadi ya wasemaji wa Kisonga haijahesabiwa. Tena Kisonga hakijaainishwa kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy