Kisubanen-Magharibi

Kisubanen ya Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wasubanen. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisubanen ya Magharibi imehesabiwa kuwa watu 125,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisubanen ya Magharibi iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy