Kisukur

Kisukur ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasukur. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kisukur imehesabiwa kuwa watu 14,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisukur iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy