Kitanna-Kusini-Magharibi

Kitanna-Kusini-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Watanna kwenye kisiwa cha Tanna. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kitanna-Kusini-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitanna-Kusini-Magharibi iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy