Kitehit

Kitehit ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watehit. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitehit imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitehit iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy