Kiternate

Kiternate ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waternate. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiternate imehesabiwa kuwa watu 42,000, ambao 20,000 wao hawatumii Kiternate kama lugha ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiternate iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy