Kitibea

Kitibea ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Watibea. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kitibea imehesabiwa kuwa watu 1400 katika vijiji vitatu tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitibea iko katika kundi la A50.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy