Kiumbugarla

Eneo la kihistoria la Kiumbugarla (rangi ya kahawia)

Kiumbugarla kilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Waumbugarla katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiumbugarla, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiumbugarla hakilingani na lugha nyingine, ila labda Kingurmbur.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy