Kivaghri

Kivaghri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wavaghri. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kivaghri imehesabiwa kuwa watu 3660. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kivaghri kiko katika kundi la Kigujarati.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy