Kivale

Kivale ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wavale. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kivale imehesabiwa kuwa watu 5400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivale iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy