Kivemgo-Mabas

Kivemgo-Mabas ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wavemgo-Mabas. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kivemgo-Mabas nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 10,000; pia kuna wasemaji 5000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivemgo-Mabas iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy