Kiviemo

Kiviemo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Waviemo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiviemo imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiviemo iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy