Kiviid

Kiviid (pia Kisenggi) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waviid. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiviid imehesabiwa kuwa watu 250, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiviid iko katika kundi la Kipapua ya “Border”.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy