Kiwa-Parauk

Kiwa-Parauk ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar, China na Uthai inayozungumzwa na Wawa-Parauk. Idadi ya wasemaji wa Kiwa-Parauk imehesabiwa kuwa watu 400,000 nchini Myanmar (2000), watu 399,000 nchini China (2008) na watu 6700 nchini Uthai (2008). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwa-Parauk iko katika kundi la Kipalaungiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy