Kiwaata

Kiwaata ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kenya inayozungumzwa na Wawaata. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiwaata imehesabiwa kuwa watu 12,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaata iko katika kundi la Kikushi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy