Kiwasa

Kiwasa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wawasa. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiwasa imehesabiwa kuwa watu 309,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwasa iko katika kundi la Kikwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy