Kiworrorra

Eneo la lugha za Kiworrorran barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Kiworrorra (pia Kiworora) ni lugha ya Kiworrorran nchini Australia inayozungumzwa na Waworrorra katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiworrorra ishirini tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiworrorra kiko katika kundi la Kiworrorran cha Magharibi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy